Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
- Thread starter
- #21
Kwanza rudi kwenye komenti yako kisha weka ushahidi wa ulichozungumza (jifunze kutoongea maneno matupu matupu, isipokuwa uyawekee ushahidi)Jifunze kufanyia kazi hoja moja kwa wakati, Trump katokea wapi kwenye hii hoja au labda nikuulize, unajua Trump alikuwa na hoja gani kuhusu vita katika mataifa ya kigeni?
Pili US ndie mbeleko ya South Korea, hakuna South Korea kama US hatokuwepo. Hivyo jogoo akishindwa, usitegemee kifaranga wake kuweza