Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
- Thread starter
-
- #21
Kwanza rudi kwenye komenti yako kisha weka ushahidi wa ulichozungumza (jifunze kutoongea maneno matupu matupu, isipokuwa uyawekee ushahidi)Jifunze kufanyia kazi hoja moja kwa wakati, Trump katokea wapi kwenye hii hoja au labda nikuulize, unajua Trump alikuwa na hoja gani kuhusu vita katika mataifa ya kigeni?
Wewe endelea kubwabwaja ila USA pamoja na NATO akiwemo Trump inajulikana dunia nzima kwamba walimshindwa kiduku walijaribu kumfanyia Clandestine Espionage kwa kutumia CIA FBI walichemka na walipojaribu vita ikashindikana walitumia biti zoote zikiwamo za NGWAIR na MCHIZI MOX hawakufua dafu.Jifunze kufanyia kazi hoja moja kwa wakati, Trump katokea wapi kwenye hii hoja au labda nikuulize, unajua Trump alikuwa na hoja gani kuhusu vita katika mataifa ya kigeni?
Unataka uishi ili ufanye nini?Yaani kuna mijitu iko standby ili kuiangamiza dunia tu.. Haiwazi vitu vya msingi, ni vita tuu muda wote