aikamatemu
JF-Expert Member
- Jan 29, 2020
- 464
- 1,897
Nimeanza kukapenda na kukaelewa haka kakidukulilo ka Korea north!
The North Korea leader Kim Jong -un has expressed concern over the way America and the West are toasting Africa about, making the statement "I wonder how the white successfully convinced Africa's that polygamy is a sin but gay is right"
Africans should learn how to practice their own religion, until D-Day Africans will start practicing their own religion they will never develop or make a head way.
Globalisation has never helped any country or continent, so if Africans must succeed they should never take global standard as a way of life.
Practice what you know best in accordance with your culture.~ Kim jong-un
This is an honest truth for Africans, we can't keep living a borrowed life style in the name of Globalisation.
Africans should learn how to maintain their culture and live their own lives. I thank Kim for this wonderful statement about Africans.
I will really love to have your opinion on this matter. so kindly drop a comment below and also share to reach others
Tupendeni vya kwetu! Kwani kabla ya ujio wa wakoloni na wabiasharisha watumwa, hatukuwa na dini, na mambo kibao ambayo yangeliboreshwa, tungelisonga bila ya kukopi moja kwa moja tamaduni za hao wageni!African religions? Ni zipi hizo?
Imefika wakati kwamba mwafrika akizungumzia dini atataja Kuran au Bible... Vitu ambayo kiasili si vya kiafrika... Hivi kweli dini zetu za kiafrika ni za Ki Shenzi kama walivyoziita??? 😳 Hebu tufikirie hapo...Tupendeni vya kwetu! Kwani kabla ya ujio wa wakoloni na wabiasharisha watumwa, hatukuwa na dini, na mambo kibao ambayo yangeliboreshwa, tungelisonga bila ya kukopi moja kwa moja tamaduni za hao wageni!
Ninadhani ndivyo alivyomaanisha yeye.
Kasema wazi kuwa, utandawazi haujamnufaisha yeyote kitamaduni zaidi ya kuvuruga.
Akiwanyooshea kidole mahasimu zake (USA), anahoji kwa nini kwao usenge na ushoga uwe halali, halafu talaka ziwe dhambi kama kweli watu hao ni wema(siyo sepetu)?
Kasema waAfrika tujitathimini na hulka yetu ya bendera fuata upepo kwa kufakamia kila kipitacho mbele yetu bila kuhoji, nimekapenda!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vigumu kukujibu kwa kuwa sijui wewe ni Kabila gani... Jaribu kumuuliza mzee katika Familia yenu (babu yako)Which African religion or culture?
Wala tusingekuwa na ugomvi!Imefika wakati kwamba mwafrika akizungumzia dini atataja Kuran au Bible... Vitu ambayo kiasili si vya kiafrika... Hivi kweli dini zetu za kiafrika ni za Ki Shenzi kama walivyoziita??? 😳 Hebu tufikirie hapo...
Tunazo,tunazikataa baada ya kulishwa dini na watu wengine... 😳kweli kabisa, uislamu dini ya waarabu, ukristo dini ya wazungu, waafrika hatuna dini tunadandia dini za wengine
Asians wameendelea kushikilia dini zao kule kuna budhas na Hindus
The North Korea leader Kim Jong -un has expressed concern over the way America and the West are toasting Africa about, making the statement "I wonder how the white successfully convinced Africa's that polygamy is a sin but gay is right"
Africans should learn how to practice their own religion, until D-Day Africans will start practicing their own religion they will never develop or make a head way.
Globalisation has never helped any country or continent, so if Africans must succeed they should never take global standard as a way of life.
Practice what you know best in accordance with your culture.~ Kim jong-un
This is an honest truth for Africans, we can't keep living a borrowed life style in the name of Globalisation.
Africans should learn how to maintain their culture and live their own lives. I thank Kim for this wonderful statement about Africans.
I will really love to have your opinion on this matter. so kindly drop a comment below and also share to reach others
Kwan dini za waafrika ndio zipi!?Imefika wakati kwamba mwafrika akizungumzia dini atataja Kuran au Bible... Vitu ambayo kiasili si vya kiafrika... Hivi kweli dini zetu za kiafrika ni za Ki Shenzi kama walivyoziita??? [emoji15] Hebu tufikirie hapo...
Ndo nauliza hivi, dini zetu waafrika ni zipi?Tupendeni vya kwetu! Kwani kabla ya ujio wa wakoloni na wabiasharisha watumwa, hatukuwa na dini, na mambo kibao ambayo yangeliboreshwa, tungelisonga bila ya kukopi moja kwa moja tamaduni za hao wageni!
Ninadhani ndivyo alivyomaanisha yeye.
Kasema wazi kuwa, utandawazi haujamnufaisha yeyote kitamaduni zaidi ya kuvuruga.
Akiwanyooshea kidole mahasimu zake (USA), anahoji kwa nini kwao usenge na ushoga uwe halali, halafu talaka ziwe dhambi kama kweli watu hao ni wema(siyo sepetu)?
Kasema waAfrika tujitathimini na hulka yetu ya bendera fuata upepo kwa kufakamia kila kipitacho mbele yetu bila kuhoji, nimekapenda!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vigumu kukujibu kwa kuwa sijui wewe ni Kabila gani... Jaribu kumuuliza mzee katika Familia yenu (babu yako)
Eg Mkurya anatofautiana sana na Muhehe etc
Kwahiyo anataka tuanze kuomba kwenye milima na mibuyu