Norther Korean leader Kim Jong Un said African should learn how to practice their own Religions

Status
Not open for further replies.
But little did he know that
Eventually the enemy
Will always stand aside and look....
Knowing that already
We are both the victims of the situation

Sent using Jamii Forums mobile app
 
b8b71d5dfe0dbaa17b1e81a8e160ebb1

The North Korea leader Kim Jong -un has expressed concern over the way America and the West are toasting Africa about, making the statement "I wonder how the white successfully convinced Africa's that polygamy is a sin but gay is right"

Africans should learn how to practice their own religion, until D-Day Africans will start practicing their own religion they will never develop or make a head way.

Globalisation has never helped any country or continent, so if Africans must succeed they should never take global standard as a way of life.

Practice what you know best in accordance with your culture.~ Kim jong-un

This is an honest truth for Africans, we can't keep living a borrowed life style in the name of Globalisation.

Africans should learn how to maintain their culture and live their own lives. I thank Kim for this wonderful statement about Africans.

I will really love to have your opinion on this matter. so kindly drop a comment below and also share to reach others
Nimeanza kukapenda na kukaelewa haka kakidukulilo ka Korea north!
Kametema madini ya adamu kuwahi kushuhudiwa tangu kaanze kutawala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
African religions? Ni zipi hizo?
Tupendeni vya kwetu! Kwani kabla ya ujio wa wakoloni na wabiasharisha watumwa, hatukuwa na dini, na mambo kibao ambayo yangeliboreshwa, tungelisonga bila ya kukopi moja kwa moja tamaduni za hao wageni!

Ninadhani ndivyo alivyomaanisha yeye.

Kasema wazi kuwa, utandawazi haujamnufaisha yeyote kitamaduni zaidi ya kuvuruga.

Akiwanyooshea kidole mahasimu zake (USA), anahoji kwa nini kwao usenge na ushoga uwe halali, halafu talaka ziwe dhambi kama kweli watu hao ni wema(siyo sepetu)?

Kasema waAfrika tujitathimini na hulka yetu ya bendera fuata upepo kwa kufakamia kila kipitacho mbele yetu bila kuhoji, nimekapenda!

Imefika wakati kwamba mwafrika akizungumzia dini atataja Kuran au Bible... Vitu ambayo kiasili si vya kiafrika... Hivi kweli dini zetu za kiafrika ni za Ki Shenzi kama walivyoziita??? 😳 Hebu tufikirie hapo...
 
Which African religion or culture?
Ni vigumu kukujibu kwa kuwa sijui wewe ni Kabila gani... Jaribu kumuuliza mzee katika Familia yenu (babu yako)
Eg Mkurya anatofautiana sana na Muhehe etc
 
Imefika wakati kwamba mwafrika akizungumzia dini atataja Kuran au Bible... Vitu ambayo kiasili si vya kiafrika... Hivi kweli dini zetu za kiafrika ni za Ki Shenzi kama walivyoziita??? 😳 Hebu tufikirie hapo...
Wala tusingekuwa na ugomvi!
 
b8b71d5dfe0dbaa17b1e81a8e160ebb1

The North Korea leader Kim Jong -un has expressed concern over the way America and the West are toasting Africa about, making the statement "I wonder how the white successfully convinced Africa's that polygamy is a sin but gay is right"

Africans should learn how to practice their own religion, until D-Day Africans will start practicing their own religion they will never develop or make a head way.

Globalisation has never helped any country or continent, so if Africans must succeed they should never take global standard as a way of life.

Practice what you know best in accordance with your culture.~ Kim jong-un

This is an honest truth for Africans, we can't keep living a borrowed life style in the name of Globalisation.

Africans should learn how to maintain their culture and live their own lives. I thank Kim for this wonderful statement about Africans.

I will really love to have your opinion on this matter. so kindly drop a comment below and also share to reach others
Asians wameendelea kushikilia dini zao kule kuna budhas na Hindus

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imefika wakati kwamba mwafrika akizungumzia dini atataja Kuran au Bible... Vitu ambayo kiasili si vya kiafrika... Hivi kweli dini zetu za kiafrika ni za Ki Shenzi kama walivyoziita??? [emoji15] Hebu tufikirie hapo...
Kwan dini za waafrika ndio zipi!?
Sisemi mila na desturi nasema DINI

Kwan hakuna waarabu wakristo na hakuna wazungu waislam

Mbna hawasemi kama wamekopi nakupaste mila zawatu wengine

Wachina waislam hakuna ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha huu ni uongo ulioandikwa kwa kizungu.
Aliyazungumza hayo lini? wapi na nani?!
 
I use to tell my friends that christianity and islamic is a peace of shit. We should stick to our african religious custom ( mila zetu za kiafrica). We use to receive everything from western people and belive that is right. That is not right and we should change this mentality.
 
Tupendeni vya kwetu! Kwani kabla ya ujio wa wakoloni na wabiasharisha watumwa, hatukuwa na dini, na mambo kibao ambayo yangeliboreshwa, tungelisonga bila ya kukopi moja kwa moja tamaduni za hao wageni!

Ninadhani ndivyo alivyomaanisha yeye.

Kasema wazi kuwa, utandawazi haujamnufaisha yeyote kitamaduni zaidi ya kuvuruga.

Akiwanyooshea kidole mahasimu zake (USA), anahoji kwa nini kwao usenge na ushoga uwe halali, halafu talaka ziwe dhambi kama kweli watu hao ni wema(siyo sepetu)?

Kasema waAfrika tujitathimini na hulka yetu ya bendera fuata upepo kwa kufakamia kila kipitacho mbele yetu bila kuhoji, nimekapenda!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo nauliza hivi, dini zetu waafrika ni zipi?
 
Ni vigumu kukujibu kwa kuwa sijui wewe ni Kabila gani... Jaribu kumuuliza mzee katika Familia yenu (babu yako)
Eg Mkurya anatofautiana sana na Muhehe etc

Nikiona hata yeye jinsi alivyovyaa na baadhi ya vitu anavyotumia sidhani kama vyote vinatoka North Korea na hakuna anachotumia katika nchi hiyo kinachotoka sehemu nyingine. Mfano, kusema sehemu fulani ni kaskazini, kusini, mashari na magharibi - sidhani kama kulitoka Norh Korea. Au kutumia dawa na vipimo vya maabala - sidhani kama kulitoka North Korea. Kwa maneno mengine, nataka kusema kwamba binadamu wote tuna namna fulani ya kuchukua vitu au kuiga kutoka kwa watu wengine. Hivyo ndivyo tulivyo na anayesema yeye haigi na wala hajawahi kuiga kitu kutoka sehemu nyingine ni mwongo mkubwa!
 
Kwahiyo anataka tuanze kuomba kwenye milima na mibuyu

Sasa ukwel uliopo ni kuwa, wale waliokuwa wakiabudu kwenye misitu na milima watakubalika mbele za Mwenyezi Mungu kuliko wanafiki na wazinzi waliojazana katika nyakati hizi za kisasa.
 
Religion is a business for the strong minded to exploit the weak psychologicall,regardless of western,eastern or africa.religion is a tool to undermine fools
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom