Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni kutafuta kikikwahiyo kitulize ujionee nyuzi za kale
Kama una muda tafuta nyuzi zilizotoa majibu sahihi kwa maswali mbalimbali yaliyo tolewa majibu..sawa
Ilikuwa noma sana enzi hizo, hoja kwa hoja, logic kwa logic sio kama sahivi mambo yanaenda kasi ukiongea unaambiwa chawa, huna akili, umekula kwanza n.kEnzi hizo nyuzi zimeshiba madini haswa kama huna B+ 5 huezi elewa, kwenye komenti hoja zimesimama sana na wadau walikuwa wakiheshimiana mno.
unapokelewa na kujibiwa kama ulivyokuja mkuu, ukija kimzaha mzaha basi tegemea hoja za hivyo hivyo.Ilikuwa noma sana enzi hizo, hoja kwa hoja, logic kwa logic sio kama sahivi mambo yanaenda kasi ukiongea unaambiwa chawa, huna akili, umekula kwanza n.k