Mimi pia huwa simuelewi...! Mara hatosheki, mara anamvizia mume wa jirani, mara anatafuta mume, mara ana mtoto, mara mume hajaruri siku ya valentine...! Kweli kuna uwalakini mkubwa sana wa huyu dada...! Her name says all...!
Kweli kuna usemi unaosema, "jina linaumba". Huyu jina lake "Not Enough" limemuumba kuwa hivo. Na sijui ni nani alimchagulia hili jina manake linaendana nae kabisa...!