Why don't you speak about anti CCP movement zilizopo Main land China..?
Why you're trying to hide your mess..?
Unemployment problems zinazoendelea China mpaka Xi ameamuru wasomi waelekezwe kwenye country sides kufanya shughuli za shamba.
Is China so good compared to the west?
China is ranked 179th second from the last in this year world free and acceptable country ikiambatana na North Korea.
Open your country first iwe wazi, remove the great firewall nchi iwe huru ndo muweze ku criticize mambo ya wengine.
Mifumo ya west ipo wazi na ina emphasize uwazi na uwajibikaji ila China ukijaribu kuicriticize CCP unakuwa banned from everything, unakuwa huwezi kupata ajira, huwezi kununua wala kuuza coz payment system ni iko kwa mfumo wa digital na ina controliwa na CCP....
Wewe hapo saivi ukijaribu tu kuicrash CCP kwenu wazazi wako wanakamatwa wanatiwa jela na pengine ukizembea kucomply wanakuwa waathirika wa "ORGAN HARVESTING" mpaka uripoti police ya CCP na ucomply na everything.
China hakuna uhuru wa kuabudu, mmevunja miskiti mengi iliyokuwepo Xinjiang, umeondoa picha za Yesu makanisani kwenye catholic churches na kuweka picha za Xi, CCP wanataka watu wamuabudu Xi kama Mungu. Waathirika wengi wa Organ harvesting wengi ni waumini wa "FALUN GON" yaani uhuru wa kuabudu tu unaweza kukusababishia moyo, maini, figo na mapafu yako kuuzwa, tena na selikari yako mwenyewe duh!
Are all of those so good to Chinese?