Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kura nyingi za maoni zinaonyesha wastani wa asilimia 25% tu ya raia wa Uingereza ndio ambao wangetaka Ufalme huo uondolewe na kufutwa kabisa, wengine wote wanapenda uendele kuwepo.
Ufalme wa Uingereza ni ceremonial tu kama kumbukumbu na wengi wanaichukulia kama kiunganishi kama taasisi iliyoanzisha taifa lao. Kwa sasa Ufalme huo hauna athari zozote katika miasha ya raia wa Uingereza.
Hawajawahi kukutaa kusaini sheria yeyote iliyopitishwa na bunge, hawajwahi kumkataa waziri mkuu yeyote aliyeidhinishwa na bunge.
Jeshi linamtambua mfalme/malkia kama mkuu wao lakini mamlaka kamili ya jeshi na amri ni kutoka kwa waziri wa ulinzi, waziri mkuu na bunge.
Ufalme unapewa pesa ila ni kidogo sana kiasi kwamba walipa kodi wengi hawawezi kujali. Uingereza huwa inatumia karibu poundi billion 10 kwa mwaka katika misaada wakati inatenga paundi million100 tu kwa ufalme. Waingereza wakiona kodi zao zinatumika vibaya wataanza kwanza kudai kusitishwa kwa misaada kabla ya ufalme.