Fungua mada kuhusu CPC uizungumzie kadiri unavyo weza hakuna aliye kuzuia.Why don't you speak about anti CCP movement zilizopo Main land China..?
Why you're trying to hide your mess...
Si ulete na wewe kwani ulishaweka uzi wenye hayo mawazo yako ukafutwa...... Acheni kudandia treni kwa mbeleWhy don't you speak about anti CCP movement zilizopo Main land China..?
Why you're trying to hide your mess...
Kwani umenote kwenye uzi wako tusilete habari za CCP?Fungua mada kuhusu CPC uizungumzie kadiri unavyo weza hakuna aliye kuzuia.
Hii thread ni kuhusu Uingereza na kinacho endelea katika suala la ufalme na hatima yake.
Stick kwenye mada husika.
Hii mada haihusu CPC nashindwa kuelewa ki vipi unakuwa sio muelewa.Kwani umenote kwenye uzi wako tusilete habari za CCP?
Dizain ulifungua uzi alaf mod's wakatupia humuWhy don't you speak about anti CCP movement zilizopo Main land China..?
Why you're trying to hide your mess..?
Unemployment problems zinazoendelea China mpaka Xi ameamuru wasomi waelekezwe kwenye country sides kufanya shughuli za shamba.
Is China so good compared to the west?
China is ranked 179th second from the last in this year world free and acceptable country ikiambatana na North Korea.
Open your country first iwe wazi, remove the great firewall nchi iwe huru ndo muweze ku criticize mambo ya wengine.
Mifumo ya west ipo wazi na ina emphasize uwazi na uwajibikaji ila China ukijaribu kuicriticize CCP unakuwa banned from everything, unakuwa huwezi kupata ajira, huwezi kununua wala kuuza coz payment system ni iko kwa mfumo wa digital na ina controliwa na CCP....
Wewe hapo saivi ukijaribu tu kuicrash CCP kwenu wazazi wako wanakamatwa wanatiwa jela na pengine ukizembea kucomply wanakuwa waathirika wa "ORGAN HARVESTING" mpaka uripoti police ya CCP na ucomply na everything.
China hakuna uhuru wa kuabudu, mmevunja miskiti mengi iliyokuwepo Xinjiang, umeondoa picha za Yesu makanisani kwenye catholic churches na kuweka picha za Xi, CCP wanataka watu wamuabudu Xi kama Mungu. Waathirika wengi wa Organ harvesting wengi ni waumini wa "FALUN GON" yaani uhuru wa kuabudu tu unaweza kukusababishia moyo, maini, figo na mapafu yako kuuzwa, tena na selikari yako mwenyewe duh!
Are all of those so good to Chinese?
Wanasema sababu gani hasa zinazowafanya kutopendezwa na mfumo wa ufalme wa kikatiba?Kizazi cha sasa cha Uingereza kinaonesha hali ya kutokupendezwa na mfumo wa ufalme uliopo Uingereza.
Je, hali hii inaweza pelekea kuzikwa kwa ufalme Uingereza kwa miaka ijayo ?
Matukio ya siku ya jana 6/5/2023 katika siku ya kusimikwa kwa mfalme wa Uingereza Charles wa tatu
1.
View attachment 2613291
2.
View attachment 2613292
3.
View attachment 2613293
4.
View attachment 2613294
5.
View attachment 2613295
6.
View attachment 2613296
Uhuru wako wa kujieleza na kutoa maoni upo katika kila jukwaa hapa Jf ni suala la wewe kubonyeza kitufe cha " POST THREAD" na kuutumia huo uhuru wako wa kujieleza kadiri utakavyo kwa kuzingatia sheria za JF.Why unaniwekeaa condition?
Why Unaingilia uhuru wangu wa kujieleza na kutoa maoni..?
Huwa wanapata gawio la kodiKuna ukweli wowote kuhusu hiyo familia ya kifalme ni tajiri sana.
Sasa hapo kwenye hao wanaowapinga kusema wanatumia rasilimali za nchi sijaelewa!! Au kwenye bajeti ya serikali ya huko kuna fungu linatengwa kwa ajili ya matumizi ya ufalme??
Ni tajiri sana na utajiri wao umekusanywa kwa karne nyingi kutoka sehemu mbalimbali duniani enzi hizo wakiwa empire hata kabla ya kuingia katika mfumo wa constitutional monarchy.Kuna ukweli wowote kuhusu hiyo familia ya kifalme ni tajiri sana.
Sasa hapo kwenye hao wanaowapinga kusema wanatumia rasilimali za nchi sijaelewa!! Au kwenye bajeti ya serikali ya huko kuna fungu linatengwa kwa ajili ya matumizi ya ufalme??
Ufalme umejikita katika mfumo wa kurithi wao wanatazama kama ni kinyume na democracy.Wanasema sababu gani hasa zinazowafanya kutopendezwa na mfumo wa ufalme wa kikatiba?
Huo Uhuru gani wakijingaWhy unaniwekeaa condition?
Why Unaingilia uhuru wangu wa kujieleza na kutoa maoni..?
This is not a Chinese social media, huku watu tuna uhuru wa kujieleza, na kuzungumza chochote.