Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Brilliant! Kuna yeyote mwenye figures?
Sugu kwa pembeni bila kumsahau mzee wa kiraracha, najaribu kupiga picha bungeni Mrema akibishana na prof. Maji marefu kazi ipo.Kweli mwaka huu Bungeni ipo kazi...: Mnyika (Ubungo), Mdee (Kawe), Msigwa (Iringa), Shibuda, Mpendazoe... naona kwa kweli kutakuwa na kazi!
Sugu kwa pembeni bila kumsahau mzee wa kiraracha, najaribu kupiga picha bungeni Mrema akibishana na prof. Maji marefu kazi ipo.
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba kijana Mnyika ni Mbunge wa Ubungo kuanzia leo. Ameshinda kwa kishindo na watu wote wamelipuka kwa shangwe. Pale Loyola kwa sasa hapakaliki!!
kweli mwaka huu bungeni ipo kazi...: Mnyika (ubungo), mdee (kawe), msigwa (iringa), shibuda, mpendazoe... Naona kwa kweli kutakuwa na kazi!
Utamlinganisha Mnyika na Rostam au Komba au prof. Maji marefu maana hivyo ndivyo vichwa vya CCM.kwa hiyo hawa ndio wanafidia kukosekana slaa bungeni!!! Na hasara nyingine ni atakaposhindwa urais na dalili zinaonyesha!!!!!