Notes from the 5th women conference

[emoji23][emoji23][emoji23]shunie mimi sijui bwana, kuna kitu wanaita kegel exercises. Jaribu kuipitia kuisoma, wanasema inasababisha upate bao tam sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nasubiri mrejesho mimi.
Eeenh bwana [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe ndio hivi kufinyia nimefanya
 
[emoji23][emoji23][emoji23]shunie mimi sijui bwana, kuna kitu wanaita kegel exercises. Jaribu kuipitia kuisoma, wanasema inasababisha upate bao tam sana.
[emoji85][emoji85] mmhh kaka Eli hapo kwenye bao mbona unatusemea wanawake ??
 
[emoji85][emoji85] mmhh kaka Eli hapo kwenye bao mbona unatusemea wanawake ??
Ndio nikasema "wanasema", kwetu sisi tukifinyiwa inakuwa kama inavutwa ndani huko. The pleasure sio ya nchi hii.
 
Hayo ni mawazo mabaya sana. Unapomfanya mtu akawa ni sponsor halafu yeye hspati faida ya udhamini huo ni uonevu mkubwa
Mimi nimekubali no 3.
Kama hanipanui mawazo asinipanue miguu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Kwani ndugu we unaonaje unaweza mpanua mtu miguu bila ya kumpanua mawazo?
 
Ndio nikasema "wanasema", kwetu sisi tukifinyiwa inakuwa kama inavutwa ndani huko. The pleasure sio ya nchi hii.
Paul
Ndio nikasema "wanasema", kwetu sisi tukifinyiwa inakuwa kama inavutwa ndani huko. The pleasure sio ya nchi hii.
Kwani kaka yangu ushakutana na hayo mambo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ maana naona uko busy kweli kuelezea ili wanaume wenzako wapate hiyo pleasure.
Mimi huwa naamini sana kwenye feelings na upendo wa mtu huko ndo utamu wote unapotokea.
 
Haha amu bwana, hawa watoto wamekuwa busy kunidadisi il hali wanajua kila kitu. Mimi nawazoom tu, ila unachosema ni kweli kwa upande wenu Ke, sisi Me the whole package lazima ihusike, huko chini kuwe mwaaa plus hizo feelings unazosemea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…