HayaHaha amu bwana, hawa watoto wamekuwa busy kunidadisi il hali wanajua kila kitu. Mimi nawazoom tu, ila unachosema ni kweli kwa upande wenu Ke, sisi Me the whole package lazima ihusike, huko chini kuwe mwaaa plus hizo feelings unazosemea.
Bila shaka umefanya vyema maana huo ni ukweli tu na ukweli una sifa moja, hata ukiuficha chini ya uvungu ipo siku utatoka ukiwa umeva viatu.
Haha amu bwana, hawa watoto wamekuwa busy kunidadisi il hali wanajua kila kitu. Mimi nawazoom tu, ila unachosema ni kweli kwa upande wenu Ke, sisi Me the whole package lazima ihusike, huko chini kuwe mwaaa plus hizo feelings unazosemea.
Marhaba sis darling!!!