Notes from the 5th women conference

Notes from the 5th women conference

8)Hakuna kufanya Wifey duties kama wewe ni girlfriend ..ukienda wewe chukua remote na pillow alafu uekelee miguu kwa meza..usijaribu kutoa hadi sahani kwa hiyo nyumba.
Hahaha
Huu sasa ni uchafu
 
kikao kilikuja na maamuzi mazito kwelikweli. Mwenyekiti atakuwa alikuwa na kazi nzito kukiongoza! Sawa ajenda na suluhisho lenu tumelichukua tutakuja na namna bora ya kwenda nazo sambamba
 
Mkuu nimeamuwa ni screen shot kabisa hii kitu.
Hii ni sawa na kumpa jogoo maji ya moto ukitarajia atage mayai ya kuchemsha.

Kanuni itakayotumika dhidi yenu na wanaojiita mabaharia ni moja, take five, select four, choose two and finally marry one.

Maana mmejiwekea female version standards of mabaharia sasa mtakutana na mabaharia wa kiume wenye akili kama zenu...

Bad meet evil.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom