doctor of philosophy
Member
- Jul 20, 2024
- 42
- 98
Habari zenu wakuu,kama ilivyo kawaida JamiiForums ni home of great thinkers,naamini kwa hiki nitakacho kiandika hakito mkwaza mtu na hata mtu aki comment kitu itakuwa imenisaidia kwa namna moja ama nyingine.
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza ,kozi nayo soma ni Radiography(utabibu wa mionzi i.e x-rays,ultra sounds,MRI,CT Scanners etc).sasa kwa bahati iliyo mbaya ni kwamba kozi hii ni mpya chuoni kwetu hapa,kitu kinachopelekea upungufu wa material ya kujisomea i.e vitabu,
Notes sio kwamba lecture hatoi au hafundishi hapana,isipokuwa kwa wale mlosoma chuo mnaelewa lecture akifundisha inabidi uende ukatafute material
Hivyo badhi kwa mwenye yuko na material ya hii cozi,diagnostic Radiography maana najua hatukosi madaktari humu ndani,au mwenye kujua haya material yanapatikana sehemu au ikiwezekana hata mwenye yuko unajua connection maybe kuna association ya radiographers even nchi za nje anipe connection ili tuwe tuna share Ideas
Mwisho kabisa natumia nukuu ya Mwalm J K Nyerere""Elimu sio kipande cha mkate kwamba ukimmegea mwenzako nawe utapungikiwa"'naomba kuwasirisha
#Doctor of philosophy