Wadau wa masomo ya sayansi A-Level; Physics, Chemistry na Biology mnaonaje tukiwa tunaweka notes za masomo hayo hapa jamvini. Hii itasaidia kupambana na changamoto ya upungufu wa Walimu na Vitabu.
Unaweza kuweka link au notes ktk fomati ya pdf, word, ppt n.k
Unaweza kuweka link au notes ktk fomati ya pdf, word, ppt n.k