Notes za secondary (pdf) bei nafuu sana

Notes za secondary (pdf) bei nafuu sana

Joel360

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2013
Posts
986
Reaction score
657
Tunakupa Notes za secondary zilizo katika format ya PDF kwa bei nafuu sana.
1. Notes tumeziandaa wenyewe.
2. Tumezingatia syllabus katika kuziandaa kwa hiyo Topic zote zipo.
3. Kwa upande wa Geography na Biology michoro, diagram na picha zote zipo kukufanya uelewe kirahisi sana masomo hayo.
4. Tumezingatia urahisi kwa msomaji, hivyo Notes zinaeleweka kirahisi sana. (Tumetumia simplified English).
5. Unachohitaji ni Pdf reader tu katika simu yako ili uweze kujisomea Notes zetu popote unapokuwa na simu yako, tena offline.

Notes tulizonazo mpaka muda huu unasoma hii post:
O level:
Civics, Geography, Biology, History, Kiswahili.

A level: Language 1, Stylistics and Communication & Introduction to Literature, History 1 na History 2.

Uchambuzi: Uchambuzi wa fasihi (Kiswahili) O level, O level Literature Analysis (English) na A level Literature Analysis.

BEI
1. Somo lolote lile Form 1 au Form 2 ni TSh 1500/= tu.
2. Somo lolote lile Form 3 au Form 4 ni TSh 2000/=.
3. History 1, History 2, Language 1 na Language 2 (Stylistics/Communication & Introduction to Literature) ni TSh 2500/= kila moja.
4. Uchambuzi wa fasihi ni TSh 2000/= kila moja.

MAWASILIANO.
Simu / WhatsApp: +255 656 203 045.
Email: hello[at]mwanafunzismart[dot]com.
Website: www[dot]mwanafunzismart[dot]com

*Tumetumia alama hizi [dot], [at] ilo kuzuia email na website zisiwe clickable, kwa sababu taratibu za Jamiiforums haziruhusu clickable links. Ikiwa unapata tabu kuwasiliana nasi kwa njia ya email au kuingia katika website yetu, tafadhali tutumie meseji kwa njia ya WhatsApp.

KARIBUNI SANA.
 
Back
Top Bottom