starlightz
Member
- Nov 2, 2021
- 44
- 116
Hawana uwezo huo wa kuwapiku, watu kama hawa huwa wanaanzisha startup then baadae wanauza.Je unahisi hii kamouni mya ya Nothing tech waliotengeneza simu mpya inayo itwa nothing phone kwa mantiki ya kuondoa kikwazo kati ya watumuaji na tecknolojia , je unahisi itazipiku giant kampani za simu kama Apple, Samsung, Xiaomi na Huawei ?
Mkuu vipi waionaje ubora wakeHawana uwezo huo wa kuwapiku, watu kama hawa huwa wanaanzisha startup then baadae wanauza.
Muanzilishi wa Nothing ndo huyo huyo wa Oneplus.
Ni midrange hio, simu nzuri ila ipo overpriced kama unaisubiria ikishuka bei around laki 7 mpaka milioni 1 ni sweet spot ya kununua.Mkuu vipi waionaje ubora wake
InauzAjwe kwa sasaNi midrange hio, simu nzuri ila ipo overpriced kama unaisubiria ikishuka bei around laki 7 mpaka milioni 1 ni sweet spot ya kununua.
Roughly 1.2mInauzAjwe kwa sasa
Hawana uwezo huo wa kuwapiku, watu kama hawa huwa wanaanzisha startup then baadae wanauza.
Muanzilishi wa Nothing ndo huyo huyo wa Oneplus.
Mkuu pixel 6 zina mixed reviews nyingi sana kama kawaida pixel utapata camera nzuri, clean android, updates za uhakika na optimization nyengine za google.Chief
Google pixel 6 nipe dondoo kidogo nataka niijaribu
Nimetumie 13 pro kwa muda nimeichoka nataka nirudi Android ila niingie google pixel ushauri tafadhali
Android updates zitapokea sema Carl Pei amesema they dont rush to push updates kwa mwaka huu so watazipa android 13 mapema mwaka 2023Hii simu ina high price nimeona bongo inaenda adi 1.4m and bad enough haiko kwenye simu zitakazopokea update mpya ya android so wamiliki watakua wanapata update za kawaida kama security patch na zile za interface