starlightz
Member
- Nov 2, 2021
- 44
- 116
Je unahisi hii kamouni mya ya Nothing tech waliotengeneza simu mpya inayo itwa nothing phone kwa mantiki ya kuondoa kikwazo kati ya watumuaji na tecknolojia , je unahisi itazipiku giant kampani za simu kama Apple, Samsung, Xiaomi na Huawei ?