Japo mimi sio mtu wa BOT, ila msiwe na wasiwasi, zililetwa rangi kiwa bado mbichi, inakauka taratibu kila zinavyokaa kwenye mzunguko mpaka vitafikia hazichuji tena.
Karatasi sio ya magome ya miti, ni karatasi ya pamba laini, ikilowa haichaniki kama kitambaa!.
Na hiyo rangi inayochuja, acha tuu ichuje, lakini noti inabaki ikingaa vile vile kama radioctive material!.
Naombeni tusiwe wepesi kulalamika kila kitu, japo naunga mkono kulalamikia genuine issue kama hii, ila pia tuwe tayari kupongeza kwenye jambo zuri, hivyo tuwapongeze BOT kwa Noti Mpya za size ndogo na hazichakachuliki.
rangi zote zaweza kuwa na madhara kama zinatumika pasipo takiwa! Cha msingi ni kuchukua tahadhari na uzembe huu uliofanywa na viongozi wetu! Yan hata kwa macho tu zinaonekana zinachuja! Kwanini huyu mkulo na wenzake wasiwajibike! Jk wawajibishe hawa watu, usisubiri maandano ili muue watu tena ! Au wewe unaridhika na haya mambo ya hovyo! Cjui jk ni mwana jf!! Basi kama yupo msaidizi wake/au makachero mfikishieni ujumbe huu.
!
Sijui JK ni mwana JF!! basi kama yupo msaidizi wake/au makachero mfikishieni ujumbe huu.
Mkuu Nguli Jabali,
Hatukushambulia juu ya ubora wa rangi za noti, tulijadili suala la ATMs; kwanini noti mpya zisipite kwenye macshine hizo mpaka zifanyiwe marekebisho na tukabaini kuwa kuna kamchezo pale maana kama zimechapwa na watu makini na wanasema ziko katika size ya US dollars kwanini basi zikatae kupita kwenye ATMs....
Yani haiitaji mtu awe ameelimika kujua hili,hata kwenye markets vs offices watu wanasema the same thing!.oh!Tanzania.
ATM ina AIRCONDITIONER....zitayayuka kwa ubaridi
Hizo noti wanaandaa dili lingine la uchakachuaji!!! Kwanza too many colors mpaka zinaboa!!! Hawaoni hela za wenzetu kama US dolllar? iko simple haizidi rangi mbili then ni durable!! Inaudhi hawa wanaojidai wataalam wa kudesign sijui tunawatoa wapi?. Hii nchi inachezewa sana mtatua kwa presha!!
Si nasikia eti hizi zilizoletwa ni kopy? Maana zenyewe orijino ziliporwa!!
Nguli Jabali, hivi mtu ukitoa maoni yako ndio unageuka mpotoshaji?. Amini nakuambia rangi hiyo bado mbichi, itakauka na haita chuja!.
Mbono ubichi wa rangi kwenye karatasi kavu ni kawaida kama kwenye kanga mpya, ni kavu na rangi inatoka.
Kama utaziangalia kwa makini hizi noti mpya, utaona ziko slightly over colored, walizidisha rangi kwa makusudi wakijua zitapauka kidogo ndipo zifikie kiwango cha rangi kinachotakiwa kwenye noti, au na huu ni upotoshaji pia?.
Japo mimi sio mtu wa BOT, ila msiwe na wasiwasi, zililetwa rangi kiwa bado mbichi, inakauka taratibu kila zinavyokaa kwenye mzunguko mpaka vitafikia hazichuji tena.
Karatasi sio ya magome ya miti, ni karatasi ya pamba laini, ikilowa haichaniki kama kitambaa!.
Na hiyo rangi inayochuja, acha tuu ichuje, lakini noti inabaki ikingaa vile vile kama radioctive material!.
Naombeni tusiwe wepesi kulalamika kila kitu, japo naunga mkono kulalamikia genuine issue kama hii, ila pia tuwe tayari kupongeza kwenye jambo zuri, hivyo tuwapongeze BOT kwa Noti Mpya za size ndogo na hazichakachuliki.
Pasco,
Naomba uwatake radhi Wa-Tanzania;
Comments zako kwenye hiyo post ni completely mis-leading!
"..zililetwa rangi ikiwa bado mbichi..." That is very very very LOW!