Pasco samahani kwa kutumia neno "upotoshaji"
Unavyosema walitumia rangi nyingi ili zipauke baadae una uhakika nalo? kwa hio wewe unanunuaga nguo inayochuja ili ije ipauke itulie kwenye brightness uliokuwa unaihitaji? wewe uliisikia au kuijua wapi hio tekinolojia. Je zilizopita ailikuwa the same? ni nchi gani nyingine duniani imekuwa ikutumia hio style?
Katika HIO attachment iliyotolewa na BOT hakuna sehemu wanayosema fedha zitachuja ili zije zi maintain baadae. Hayo nimeyasikia kwa mara ya kwanza kwako.
Wakuu nilieleza hii issue ya hizi noti kabla hata hazijaingia kwenye mzunguko kuwa ni kimeo, watu wakanishambulia hapa jukwaani sana na kusema sijui technolojia ya kisasa. Mmesahau kujaribu kuchana kidogo mwone nini kitatokea.
Japo mimi sio mtu wa BOT, ila msiwe na wasiwasi, zililetwa rangi kiwa bado mbichi, inakauka taratibu kila zinavyokaa kwenye mzunguko mpaka vitafikia hazichuji tena.
Karatasi sio ya magome ya miti, ni karatasi ya pamba laini, ikilowa haichaniki kama kitambaa!.
Na hiyo rangi inayochuja, acha tuu ichuje, lakini noti inabaki ikingaa vile vile kama radioctive material!.
Naombeni tusiwe wepesi kulalamika kila kitu, japo naunga mkono kulalamikia genuine issue kama hii, ila pia tuwe tayari kupongeza kwenye jambo zuri, hivyo tuwapongeze BOT kwa Noti Mpya za size ndogo na hazichakachuliki.
Pasco samahani kwa kutumia neno "upotoshaji"
Unavyosema walitumia rangi nyingi ili zipauke baadae una uhakika nalo? kwa hio wewe unanunuaga nguo inayochuja ili ije ipauke itulie kwenye brightness uliokuwa unaihitaji? wewe uliisikia au kuijua wapi hio tekinolojia. Je zilizopita ailikuwa the same? ni nchi gani nyingine duniani imekuwa ikutumia hio style?
Katika HIO attachment iliyotolewa na BOT hakuna sehemu wanayosema fedha zitachuja ili zije zi maintain baadae. Hayo nimeyasikia kwa mara ya kwanza kwako.
Pasco,
Naomba uwatake radhi Wa-Tanzania;
Comments zako kwenye hiyo post ni completely mis-leading!
"..zililetwa rangi ikiwa bado mbichi..." That is very very very LOW!
Hivi jamani kwani hamjui rationale behind creating such projects? haziwi kwa manufaa ya nchi bali 30% kushibisha matumbo ya waheshimiwa! mpaka sasa hatujui gharama iliyotumika kuchapisha hizo noti na ni kiasi gani zimechapwa tunaambiwa ni siri na hata utangazaji wa tenda pia?
si ndo hapo...kwa hiyo tukinunua nguo zinazotoa rangi tujue ndo bora zaidi maana wameongeza rangi wakijua kuwa zitapauka...hahhahaha!
poor mans mentality...
pasco unakuwa kama tabwe hizza na makamba (au na wewe ni mmojawapo)
Inawezekana hizi noti zimechapwa kule Sharrif Shamba, haiwezekani Mjerumani aka-produce bidhaa yenye kiwango cha chini namna ile...
Haya ni matusi, hili suala lazima lifuatiliwe tujue kama kweli noti zote imechapwa Ujerumani au ni sehemu ndogo tu halafu sehemu kubwa ikawa imechapwa kinyemela humu humu....:A S-fire1:
hehehe unaweza sikia RA ndo amepewa tenda ya kuzitngeneza au yeye ndo alimleta huyo aliyezitengeneza, kwan juzi si alikua asia anatafuta wawekezaje,tanzania bana tunaijenga wote inaliwa na wachahce
Du hii inashangaza kwa kweli.si ndo hapo...kwa hiyo tukinunua nguo zinazotoa rangi tujue ndo bora zaidi maana wameongeza rangi wakijua kuwa zitapauka...hahhahaha!
poor mans mentality...