Noti mpya tayari kwenye mzunguko wa fedha?

Noti mpya tayari kwenye mzunguko wa fedha?

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,390
Kwa walioko Jiji Dar E salaam sasa hivi, hivi note mpya tayari zipo kwenye mzunguko?
Ni kweli kwamba mzunguko huo unaweza kupunguza ugumu wa upatikanaji wa fedha uliopo hivi sasa.
Je wachumi mnasemaje,faida za uwepo wa noti hizo kwa wananchi wa kawaida ni nini?
 
zipo bado na sahihi ya mramba na balali.....
 
Soma thread yangu nimeweka mida ya saa moja. Jukwaa la habari mchanganyiko
 
Back
Top Bottom