ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Acha afanye ashafanya mangapi mpaka Sasa hivi ya maajabu Ni mengi SanaKatila hotuba zake aliwahi kusema kuwa atabadilisha noti kuwakomoa wanaoficha hela.
Inauma Sana eti Kuna watu wameficha hizi tembo ndani halafu sisi huku tunakomaa kuzisaka.halafu hao watu waliozificha sio watu 1000 Ni Zaid ya watu laki moja