Noti Mpya ya Kenya: Wanaoficha hela chini ya kitanda!

Katila hotuba zake aliwahi kusema kuwa atabadilisha noti kuwakomoa wanaoficha hela.
Acha afanye ashafanya mangapi mpaka Sasa hivi ya maajabu Ni mengi Sana
Inauma Sana eti Kuna watu wameficha hizi tembo ndani halafu sisi huku tunakomaa kuzisaka.halafu hao watu waliozificha sio watu 1000 Ni Zaid ya watu laki moja
 
Haiko sawa, one can feel or have feeling of something without touching...
 
Wacha nikaexchange zangu maana kwenye box nina kama 150 hivi
 
Can you feel hot/ cold? Yes. Did u touch it? Idiot
 
Can you feel hot/ cold? Yes. Did u touch it? Idiot
feel
/fiːl/
Learn to pronounce
verb
1.
be aware of (a person or object) through touching or being touched.
"she felt someone touch her shoulder"
synonyms😛erceive, sense, detect, discern, make out, notice, observe, identify; More
2.
experience (an emotion or sensation).
"I felt a sense of excitement"
synonyms:experience, undergo, go through, bear, endure, suffer, be forced to contend with; More
noun
1.
an act of touching something to examine it.
2.
a sensation given by an object or material when touched.

Wewe FEEL unayojua ni kitenzi tu?
Sasa tokea leo nataka ujue kuna FEEL ambayo ni nomino! Idiot!
 
Hizo hela wazigawe bure maana wataishia kuzitia kiberiti. Mtihani sana hapa, hehehe hadi raha.
Itabidi wauzie watu elfu moja kwa shilingi Mia mbili! Hii order ikitekelezwa itafanya hela nyingi irudi Kwa cerculation, kuna watu wengi wanazulia hela Kwa nyumba zao
 
Magufuli alitaka kufanya hvyo..watu wakaongea sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…