Noti mpya

Noti mpya

Kibukuasili

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2010
Posts
1,053
Reaction score
615
Mimi si mtaalam wa uchumi, naomba kueleweshwa.
Ni muda sasa tangu noti mpya zimeingizwa kwenye mzunguko lakini za zamani bado zipo pia. Kwa maana hiyo kuna noti nyingi kwenye circulation. Hii haina athari kiuchumi?
 
Back
Top Bottom