Kibukuasili JF-Expert Member Joined May 15, 2010 Posts 1,053 Reaction score 615 Oct 18, 2011 #1 Mimi si mtaalam wa uchumi, naomba kueleweshwa. Ni muda sasa tangu noti mpya zimeingizwa kwenye mzunguko lakini za zamani bado zipo pia. Kwa maana hiyo kuna noti nyingi kwenye circulation. Hii haina athari kiuchumi?
Mimi si mtaalam wa uchumi, naomba kueleweshwa. Ni muda sasa tangu noti mpya zimeingizwa kwenye mzunguko lakini za zamani bado zipo pia. Kwa maana hiyo kuna noti nyingi kwenye circulation. Hii haina athari kiuchumi?
Kibukuasili JF-Expert Member Joined May 15, 2010 Posts 1,053 Reaction score 615 Oct 18, 2011 Thread starter #2 Noti mpya, benki kuu