Sabung'ori
JF-Expert Member
- Jul 19, 2011
- 2,166
- 1,247
Sarafu ndiyo fedha. Noti siyo fedha ni legal tender. Ndiyo maana inaandikwa "fedha halali kwa malipo ya shillingi......"
Kwenye sarafu imeandikwa shillingi..... lakini noti inaandikwa " fedha halali kwa malipo ya shillingi....
In banking Law there is a difference between money and legal tender. Hope you get me!
Ivi tukitengeneza noti za sh 50,100, na 200 uchumi wetu utapanda? Kama kweli kigezo cha kupanda na kushuka kwa uchumi kinategemea na wingi wa hela za noti..!!!!!
...sijui huyu nae muda wake wa kufanya madudu benki kuu ukiisha ataenda kujificha(kufa) nchi gani?...