Noti ya shilingi mia tano kubadilishwa kuwa sarafu

Noti ya shilingi mia tano kubadilishwa kuwa sarafu

...sijui huyu nae muda wake wa kufanya madudu benki kuu ukiisha ataenda kujificha(kufa) nchi gani?...
 
Sarafu ndiyo fedha. Noti siyo fedha ni legal tender. Ndiyo maana inaandikwa "fedha halali kwa malipo ya shillingi......"
Kwenye sarafu imeandikwa shillingi..... lakini noti inaandikwa " fedha halali kwa malipo ya shillingi....
In banking Law there is a difference between money and legal tender. Hope you get me!

Unataka kusema nini hapa mkuu,ebu ishushe chini kidogo nasi huku tuelewe!
 
Ivi tukitengeneza noti za sh 50,100, na 200 uchumi wetu utapanda? Kama kweli kigezo cha kupanda na kushuka kwa uchumi kinategemea na wingi wa hela za noti..!!!!!
 
Ivi tukitengeneza noti za sh 50,100, na 200 uchumi wetu utapanda? Kama kweli kigezo cha kupanda na kushuka kwa uchumi kinategemea na wingi wa hela za noti..!!!!!

Hapana. Ila itasaidia kudhibiti price inflation. Ni hii ni kiashiaria cha mwendo wa uchumi.
 
Wanaoongoza wizara hiyo ya fedha wana sifa zoote za kuwa marais Tanzania 2015 na sifa hizo ni VIJANA
 
Kwenye magazeti ya jana jumatatu nilisikia wakisema kuwa mtoto wa rais ambaye tayari ni mbunge tena wa kuchaguliwa akipendekeza majina ya watu wanaofaa kuwa katika nafasi ya urais 2015.
Sasa ni kuwa, endapo mmojawapo kati ya watu aliowataja ataweza kupenyeza na kuwa rais basi ni wazi huyu mtoto anaweza kuwa waziri na tutegemee matokeo makubwa zaidi ya haya tunaoshuhudia sasa ...yaani kuporomoka zaidi kwa uchumi, kushuka zaidi kielimu, pengo zaidi la kipato nk, nk, nk
 
ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 

Attachments

  • 500.jpg
    500.jpg
    11.1 KB · Views: 154
  • 500 2.jpg
    500 2.jpg
    154.7 KB · Views: 61
Hapo swala si kuiga jirani, ukweli ni kuwa uchumi unadhoofu. Lakini wachumi wenyewed wako kimya!
 
Back
Top Bottom