Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ziwe nyeusi rangi ya waha[emoji849]Noti ya elfu tano na elfu moja zinamvuto hasa zikiwa kwenye mabulungutu
Hahahahah waha labda wajitaZiwe nyeusi rangi ya waha[emoji849]
Kwani zikibadilika zitaongeza nini hasa? Mimi nafikiri tungekuwa tunapigania shilingi yetu iongezeke thamani kuliko kung'ang'ania kubadilisha rangi au mwomekano wa noti/sarafu. Noti/sarafu hata zingekuwa na rangi/mwomekano mzuri kuzidi noti/sarafu za dunia nzima, kama thamani yake ni ndogo kulinganisha na $, € au £ itakuwa haina maana yoyote kwetu.Tunahitaji kubadilisha muonekano wa fedha zetu sasa, hizi zimesha chakaa na zimeshatuchosha.
Kwa miaka zaidi ya kumi tumekuwa na muonekano huo huo hii ni aibu ya taifa.View attachment 2016460zania Zinahitajika kubadilishwa
Muonekano wa USD una miaka mingapi?Tunahitaji kubadilisha muonekano wa fedha zetu sasa, hizi zimesha chakaa na zimeshatuchosha.
Kwa miaka zaidi ya kumi tumekuwa na muonekano huo huo hii ni aibu ya taifa.View attachment 2016460zania Zinahitajika kubadilishwa
Sio lazima kubadilisha rangi. Zitengenezwe kwa style ya nylon kwa mbali. Hata ukiisahau kwenye nguo na ukaifulia unazwez ukaikuta haijaalibikaTunahitaji kubadilisha muonekano wa fedha zetu sasa, hizi zimesha chakaa na zimeshatuchosha.
Kwa miaka zaidi ya kumi tumekuwa na muonekano huo huo hii ni aibu ya taifa.View attachment 2016460zania Zinahitajika kubadilishwa