Notisi za advance pcm

Notisi za advance pcm

Dansel

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
249
Reaction score
59
Hi wana JF kwa yeyote anaejua link mbalimbali ambazo naweza kudownload notisi za Physics, Chemistry, and Mathematics for A-level atupie hapo kitu hii itawasaidia wengi
Salutyyyyyi kwenu
 
Huku hakuna wataalamu wa LINK nini?
 
Unajijibu mwenyewe........... hata hivyo ni wasiwasi na jibu ulilojijibu kuwa inawezekana umejijibu jibu lisilo jibu kwa swali lako!!! Google bana everything is there!!!
 
huku watu wameshapita hizo level. Huwezi kupata notes labda textbooks,
try to download vitabu husika kwa kutumia torrents
Am sure hutakosa Backhaus, Tranter, etc.
 
Back
Top Bottom