Notorious BIG kwenye wimbo wa "I Got A Story To Tell" alikuwa anamzungumzia nani?

Notorious BIG kwenye wimbo wa "I Got A Story To Tell" alikuwa anamzungumzia nani?

Ferruccio Lamborghini

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2020
Posts
1,667
Reaction score
2,595
Hivi huyu The Notorious BIG kwenye wimbo wa I got a story tell alikuwa anamzungumzia nani?

Nimejaribu kuelewa anachozungumzia lakini wapi but kuna watu wanasema ni True Story.

Wataalam wa Hiphop mnisaidie
 
🤣🤣🤣🤣 Story hipo hivi: Biggie (RIP) alikuwa anadate na Mrembo mmoja ambae pia alikuwa anadate na jamaa mmoja hivi six pack mcheza Mpira! Sasa siku ya Siku Biggie akiwa nyumbanj kwa Mrembo Kitandani Jamaa sia akafika nayeye 😁😁Biggie akaona hapa ataolewa au atapata Kichapo cha mbwa Koko.

Biggie akavaa chap chap na Akajifanya Kaka Jambazi ambae ameingia magetoni kwa mrimbwende muda sio mrefu! Akawatolea Bunduki Jamaa na Mrembo akawachukulia hela, cheni na kutokomea Siku hiyo Biggie aliponea chupuchupu kwa stail hiyo.
 
🤣🤣🤣🤣 Story hipo hivi: Biggie (RIP) alikuwa anadate na Mrembo mmoja ambae pia alikuwa anadate na jamaa mmoja hivi six pack mcheza Mpira ! Sasa siku ya Siku Biggie akiwa nyumbanj kwa Mrembo Kitandani Jamaa sia akafika nayeye 😁😁Biggie akaona hapa ataolewa au atapata Kichapo cha mbwa Koko..... biggie akavaa chap chap na Akajifanya Kaka Jambazi amabe ameingia magetoni kwa mrimbwende muda sio mrefu! Siku hiyo Biggie aliponea chupuchupu kwa stail hiyo.
Then akasepa na hela sio?

Hii ngoma haichoshi.

R.I.P BIG
 
Then akasepa na hela sio?

Hii ngoma haichoshi.

R.I.P BIG
Yap alimkungutisha msela hela zote akasepa- yaani alikaza kama Kaka Jambazi Kweli alifunika mdomo na scaf ya Demu mwenye Nyumba.So Jamaa akumjua🤣🤣maana bila Kujiongeza Wangemuwowa🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣 Story hipo hivi: Biggie (RIP) alikuwa anadate na Mrembo mmoja ambae pia alikuwa anadate na jamaa mmoja hivi six pack mcheza Mpira ! Sasa siku ya Siku Biggie akiwa nyumbanj kwa Mrembo Kitandani Jamaa sia akafika nayeye 😁😁Biggie akaona hapa ataolewa au atapata Kichapo cha mbwa Koko..... biggie akavaa chap chap na Akajifanya Kaka Jambazi ambae ameingia magetoni kwa mrimbwende muda sio mrefu! Akawatolea Bunduki Jamaa na Mrembo akawachukulia hela,Cheni na kutokomea Siku hiyo Biggie aliponea chupuchupu kwa stail hiyo.
Hakika...
 
Back
Top Bottom