Ferruccio Lamborghini
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,667
- 2,595
Then akasepa na hela sio?🤣🤣🤣🤣 Story hipo hivi: Biggie (RIP) alikuwa anadate na Mrembo mmoja ambae pia alikuwa anadate na jamaa mmoja hivi six pack mcheza Mpira ! Sasa siku ya Siku Biggie akiwa nyumbanj kwa Mrembo Kitandani Jamaa sia akafika nayeye 😁😁Biggie akaona hapa ataolewa au atapata Kichapo cha mbwa Koko..... biggie akavaa chap chap na Akajifanya Kaka Jambazi amabe ameingia magetoni kwa mrimbwende muda sio mrefu! Siku hiyo Biggie aliponea chupuchupu kwa stail hiyo.
Yap alimkungutisha msela hela zote akasepa- yaani alikaza kama Kaka Jambazi Kweli alifunika mdomo na scaf ya Demu mwenye Nyumba.So Jamaa akumjua🤣🤣maana bila Kujiongeza Wangemuwowa🤣🤣Then akasepa na hela sio?
Hii ngoma haichoshi.
R.I.P BIG
moja ya story kali kutoka kwa BIG
Hakika...🤣🤣🤣🤣 Story hipo hivi: Biggie (RIP) alikuwa anadate na Mrembo mmoja ambae pia alikuwa anadate na jamaa mmoja hivi six pack mcheza Mpira ! Sasa siku ya Siku Biggie akiwa nyumbanj kwa Mrembo Kitandani Jamaa sia akafika nayeye 😁😁Biggie akaona hapa ataolewa au atapata Kichapo cha mbwa Koko..... biggie akavaa chap chap na Akajifanya Kaka Jambazi ambae ameingia magetoni kwa mrimbwende muda sio mrefu! Akawatolea Bunduki Jamaa na Mrembo akawachukulia hela,Cheni na kutokomea Siku hiyo Biggie aliponea chupuchupu kwa stail hiyo.