njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Alifeli ...bado anahesabika ana diploma b,ndiyo maana simba queens wameleta kocha mganda kwa ajili ya klabu bingwa huko morrocoNkoma mbona kama alisha soma hiyo kozi
Duh! Ila kufeli ukiwa mtu mzima noma sana. Sasa hadi watoto wanajua kuwa umefeli. Mwanzo wa mke kukudharau 🤣🤣🤣🤣Alifeli ...bado anahesabika ana diploma b,ndiyo maana simba queens wameleta kocha mganda kwa ajili ya klabu bingwa huko morroco
Kwahiyo ukiwa mkubwa kila kitu utakiweza?Duh! Ila kufeli ukiwa mtu mzima noma sana. Sasa hadi watoto wanajua kuwa umefeli. Mwanzo wa mke kukudharau [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kawaida tu waende tarahe 21 waanze tu masomo, simba queens ya nkoma ilikuwa ni nooma hata matola akiwa lipuli na diploma c ikabidi afanywe msaidizi wa amri saidi lakini in reality matola alikuwa ndiye mwenye maamuzi kama kocha mkuu cheti kikawa kinamuangushaDuh! Ila kufeli ukiwa mtu mzima noma sana. Sasa hadi watoto wanajua kuwa umefeli. Mwanzo wa mke kukudharau 🤣🤣🤣🤣
Ukiwa mkubwa noma kufeli bwana. Ah unatakiwa upime uwezo wakoKwahiyo ukiwa mkubwa kila kitu utakiweza?
kwa kweli hata sebastian nkoma naye pia..kama kutakuwa na mechi za ligi musa mgosi awe msaidizi wa mgunda kwa muda uzuri ni kwamba kama sikosei michezo ya afrika itakuwa imesimama muda huoSimba imuwezeshe kama Ina mpango nae wa mda mrefu.
matola akasome, anaadhirika sana na hiyo diploma b yake , kila ikitokea dharura simba wanahaha mtu wa kukaa benchi mwenye diploma A..mara ettiene hitimana mara mgunda, na akimaliza kusoma asome na kiingereza pia mbona mgunda anajitahidi english?Watanzania wengi hawapendi kusoma
English anaweza hata akajifunza youtube iwapo atapendamatola akasome, anaadhirika sana na hiyo diploma b yake , kila ikitokea dharura simba wanahaha mtu wa kukaa benchi mwenye diploma A..mara ettiene hitimana mara mgunda, na akimaliza kusoma asome na kiingereza pia mbona mgunda anajitahidi english?
Huenda na Matola naye basi anaogopa kuangukia pua, kama huyo kocha mwenzake Nkoma!Alifeli ...bado anahesabika ana diploma b,ndiyo maana simba queens wameleta kocha mganda kwa ajili ya klabu bingwa huko morroco
Hii nafasi ikipita nitajua yeye matola na uongozi wa simba hawako serious na elimu yake...kuelekea december ya world cup michezo hata ya afrika nafikiri inasimama kidogo ,muda sahihi kabisa hiyo november 21Huenda na Matola naye basi anaogopa kuangukia pua, kama huyo kocha mwenzake Nkoma!
Kama vipi mashabiki wa simba waandamane kumshinikiza arudi shule. Siyo mara zote wanamshinikiza tu kuachia ngazi.
Acha ubwege mambo mangapi ukiacha kusoma unafeli katika harakati zako za kila siku za maisha..Duh! Ila kufeli ukiwa mtu mzima noma sana. Sasa hadi watoto wanajua kuwa umefeli. Mwanzo wa mke kukudharau 🤣🤣🤣🤣
Harakati gani bwana unafeli....harakati unakosa sio kefeli. Masomo ndio unafeli.Acha ubwege mambo mangapi ukiacha kusoma unafeli katika harakati zako za kila siku za maisha..