Tve ni cmpetitor wa clouds, na tve akigangamala atampiga bao clouds.
nadhani itakuwa ni Dar live mbagalaTupe venue ya tamasha la bure mkuu
Wacha tuone!
ila nahisi wasanii Wengi wataenda clouds kwa kuogopa!
Efm wakitaka waweze wamlete msanii Mkubwa kutoka nje
Hata kama ni Competition hicho wanachotaka kufanya Efm/TVE ni utoto sasa... Kwa style hii maendeleo nchi hii ngumu sana
Inajulikana Fiesta ni brand ya clouds kwa nini usipange ratiba zako tarehe nyingine kama unahamu ya kutupa tamasha la bure? To me that is so low and pathetic! Kama wao ndio walianza kutangaza tarehe basi clouds wasogeze mbele