November 25 yagombaniwa, Efm/TvE vs Clouds Media

Product gani wanatoa?.Wanaendekeza tu utamaduni wa kuzoea vya bure.
 
Jide anatamba wapi?,anatambaje?
 
yani tusiwe na tabia ya kaa,mfano

kaa ukimuweka mwenyewe kwenye ndoo hufiki mbali utamkuta ametoka nje ya ndoo ila ukimuweka na wenzake hawezi kutoka kwa sababu wenzake wanamvuta arudi kwenye ndoo

nadhani mpaka hapo utakua umemuelewa ruge
Bado sijakupata mkuu
 
Hivi bado yupo?.Usicheze na Clouds.

Nyinyi ndo mnaofanya Ruge asurubiwe , hawashindwi sababu miaka yote walibebwa na serikali kuliko hata redio au tv ya taifa ,sasa huo upendo wanaanza kugawana na wenzao wanalalamika.

Jide ni umri tu maana kwasasa hawezi kuanza kuimba na kucheza kama Vanessa ,Maua au Nandy .Lakini bado Jide akiandaa show pekee atajaza kuliko hao Vanessa,Maua na Nandy kwa pamoja. Ukitoa Diamond na Alikiba ,Jide anafuata popote atapofanya show kujaza inamaana bado anapendwa.
 
Mimi kamakawa ...nakula bia kibo complex Tegeta hadi saa sita then naenda kuruka majoka( strictly Old Skool) kwa John Dilinga Club Legends (zamani nyumbani lounge) ....hizo mambo zingine nilishasahau toka enzi za Summer Jam Slipway .....
 
Kwakweli siku hiyo nitakuwa JK Nyerere Convention Cantre nikiburudika na Classical Music(Dar Choral Society pamoja St. Kizito Choir Makuburi)
 
The same ilivyokuwa kwa jide na mwana FA. Kwa jide kulijaa huku kule kwa mwana fa wakiwaomba wanafunzi wa IFM waingie kwa buku Tano ilivyofika mida ya saa tano Usiku. Clouds wamewatesa sana wasanii sina cha kuwaonea huruma hata kidogo hao wanyonyaji.
 
Mimi kamakawa ...nakula bia kibo complex Tegeta hadi saa sita then naenda kuruka majoka( strictly Old Skool) kwa John Dilinga Club Legends (zamani nyumbani lounge) ....hizo mambo zingine nilishasahau toka enzi za Summer Jam Slipway .....
Mkuu mimi nitakuwa JK nyerere kuburudika na Classical Music(Dar Choral Society)
 
kama mi efm ningetangaza kugawa elfu tano tano kwa kila atakaekuja ili sasa mbwai iwe mbwai dadeki
 
Kwakweli efm walianza vizuri lakini naona wanaanza mambo ya kipuuzi
 
itakuzaje ushndani akat tim moja refa wao ??
waachwe wapambane wenyewe kila mtu kwa juhudi zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…