November 25 yagombaniwa, Efm/TvE vs Clouds Media

yan mm bure siwez kwenda aisee
huko unashangilia hapa mtu anavuta ganja
mwingne kashka bisi bisi mambo haya ya kijinga siwez kujaribu
 
"babu" wa miaka 20!!
 
Ni kitu kizuri kuwa na ushindani kwani wasanii watakuwa na uwezo wa kuchagua wapi kuna maslai mazuri na ushindani unakuza ufanisi na ubunifu pongezi kwa Clouds na ETV
 
mwambie ivi mtenda akitendwa hujihisi kaonewa
 
Let's wait and see..
hahahahaha mamamaeeee umesarenda tatizo pointi huna umejaa kuandika kiushabiki tu
Mondi anapafomu iyo siku maana mdhamini wa show ni makonda
 
Nawengine tunaweka tamasha la nyimbo za injili( Gospel music Concert ) siku hiyo hiyo, nimesikia kuwa wasambaa watakuwa na ngoma ya mdumange na kiingilio bure kwa wasambaa wote, kama sio msambaa unaingia kwa buku jero
[emoji28][emoji28][emoji28] mi ntatoa hiyo buku jero hata kama ni Msambaa
 
Usijitoe ufahamu kujisahaulisha hao clouds walipopanga show ya Mwana Fa wakati siku hiyo Ladyjaydee alikuwa na uzinduzi wa albamu yake na wasanii aliowaalika Jide hawakwenda wakaenda show ya clouds
Ndio hapo nnapowachukia clouds! Ni wanafiki sana hawa jamaa, now wanatafuta sympathy kwa raia wakati wanakandamiza wasanii hasa wale wasiokubaliana na malipo ya show zao
 
Wamewahi kumfanyia upuuzi huo jide acha nao wasome no
 
Efm wanainvest katika mabif ya kijinga...

WCB crew tayari wana mgogoro nao .

Watafeli vibaya sana. Wabaki tu na singeli zao.
Endelea kujidanganya E fm hawana bifu ila clouds FM walianza kuwafanyia uhuni enzi zile makonda yupo nao walifanyiwa uhuni ikiwemo ya kusajili watangazaji wa efm like yule masawe mtata
 
Ilikuwa times fm
 
Uzinduzi wa albam ya ay chini ya management ya earadio ulivurugwa na ujio wa Eve na fat Joe, tofauti ikiwa siku moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…