Hahaha acha nicheke tu
Wananchi washachoka hawaogopi tena..Mgambo akipata kichapo heavy toka kwa wananchi, hawa migambo inapaswa wasome alama za nyakati.
Wanafikiri wananchi wanaogopa.
NILIPO WAAMBIENI 2022 MLIBISHA SANAHuu mwezi unaoisha leo umeingia kwenye historia ya umwagaji mkubwa wa damu zisizo na hatia Tanganyika... Kuna siku utakuja kutengenezewa sinema na documentaries
Kuna mengi mabovu na ya kutisha na kuogofya sana yaliyotokea November bado hayajawekwa wazi.. Naamini siku si nyingi yatafunuliwa na kutonesha upya majeraha ya Tanganyika
Ni mengi mno yametokea kwenye huu mwezi hivyo bado utabeba historia muhimu ya Tanganyika huko mbeleni
Wote waliopata madhila ni kuanzia mwaka mmoja mpaka 50.. Kwahiyo tuna kizazi cha miaka 100 kitakachoishi na hii trauma
Wajane
Wagane
Yatima
Watakaobaki na makovu ya majeraha
Watakaobaki na vilema vya kudumu nk
Mwisho wa jambo ni mwanzo wa jambo.. Kesho ni December mosi.. Kwamba ni mwanzo wa mwezi wa December itakayobeba mambo mengi sana
Maandalizi ya D9 siku ya uhuru wa Tanganyika ndiyo yanaangaliwa zaidi.. Si kwa ajili ya sherehe za uhuru la hasha maana zimeshafutwa..Bali ni kwa ajili ya ukombozi wa pili wa Tanganyika
Harakati ni nyingi kwa pande zote mbili GenZ na serikali lakini kuna kila dalili upande wa pili unaelemewa
Sasa kuanzia kesho kila kila dakika na kila saa vitabeba maudhui na kutengeneza historia ya kukumbukwa kuelekea D9
NB: kuna kila dalili mchezo ukaisha mapema sana siku hiyo kwakuwa kuna timu inaweza isiingie uwanjani ama iingie lakini wachezaji wakatae kucheza
All in all kwaheri November ya damu
November ya nyeusi
November ya mateso
Umepata jina baya kwasababu ya matendo ya binadamu..
Hatutakusahau..!View attachment 3509425
dec itakuwa mbaya zaidHuu mwezi unaoisha leo umeingia kwenye historia ya umwagaji mkubwa wa damu zisizo na hatia Tanganyika... Kuna siku utakuja kutengenezewa sinema na documentaries
Kuna mengi mabovu na ya kutisha na kuogofya sana yaliyotokea November bado hayajawekwa wazi.. Naamini siku si nyingi yatafunuliwa na kutonesha upya majeraha ya Tanganyika
Ni mengi mno yametokea kwenye huu mwezi hivyo bado utabeba historia muhimu ya Tanganyika huko mbeleni
Wote waliopata madhila ni kuanzia mwaka mmoja mpaka 50.. Kwahiyo tuna kizazi cha miaka 100 kitakachoishi na hii trauma
Wajane
Wagane
Yatima
Watakaobaki na makovu ya majeraha
Watakaobaki na vilema vya kudumu nk
Mwisho wa jambo ni mwanzo wa jambo.. Kesho ni December mosi.. Kwamba ni mwanzo wa mwezi wa December itakayobeba mambo mengi sana
Maandalizi ya D9 siku ya uhuru wa Tanganyika ndiyo yanaangaliwa zaidi.. Si kwa ajili ya sherehe za uhuru la hasha maana zimeshafutwa..Bali ni kwa ajili ya ukombozi wa pili wa Tanganyika
Harakati ni nyingi kwa pande zote mbili GenZ na serikali lakini kuna kila dalili upande wa pili unaelemewa
Sasa kuanzia kesho kila kila dakika na kila saa vitabeba maudhui na kutengeneza historia ya kukumbukwa kuelekea D9
NB: kuna kila dalili mchezo ukaisha mapema sana siku hiyo kwakuwa kuna timu inaweza isiingie uwanjani ama iingie lakini wachezaji wakatae kucheza
All in all kwaheri November ya damu
November ya nyeusi
November ya mateso
Umepata jina baya kwasababu ya matendo ya binadamu..
Hatutakusahau..!View attachment 3509425
Niliwaambia watu kuw samia akiendelea na kugombea uraisi 2025 atamwaga damu nyingi sana ya watanganyika atafanya mauaji ya kimbari na niliwaambia watu wanaomshabikia kuwa analeta katiba mpya niliwaambia kuwa ilikuwa rahisi kupata katiba mpya chini ya JPM KULIKO SAMIA WATU HAPA WAKANITUKANA NA CHADEMA PIA WAKIMSIFU SA100Ulisemaje? Hebu weka hapa tujikumbushe na ikiwezekana tukuombe radhi Lwiva
OK sawa lakini naamini Mimi sikuwa mmojawaoNiliwaambia watu kuw samia akiendelea na kugombea uraisi 2025 atamwaga damu nyingi sana ya watanganyika atafanya mauaji ya kimbari na niliwaambia watu wanaomshabikia kuwa analeta katiba mpya niliwaambia kuwa ilikuwa rahisi kupata katiba mpya chini ya JPM KULIKO SAMIA WATU HAPA WAKANITUKANA NA CHADEMA PIA WAKIMSIFU SA100