November ya damu iende salama ila hatutaisahau

Kwasasa katiba itapatikana?
 
Hakuna katiba wala uchaguzi tena tz kwa miaka 10 ijayo labda samia adondoshwe asifikishe 2030
mi naona itapatikana , swali ni moja je itakua na vitu vinavyolalamiiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…