Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

Niliuliza kuhusu hili nikaambiwa unaweza kupewa only 75% ya pesa yako iliyoko UTT. Mbona wewe ulichukua zaidi ya 100% ya pesa yako?
Unachukua pesa yako yote, hawana shida
 
CRDB ni custodian wa UTT

1 . Unaweza kununua vipande vya UTT kupitia CRDB na bank zingine kadhaaa mfano NBC, Stanbic, NMB na kupitia mitandao ya simu

2. Unaweza kuuza vipande vyako vya UTT na hiyo pesa itatumwa kwenye account ambayo umeianisha kwenye form yako uliojaza wakat wa kujisajili kwenye mfuko

3. Utaratibu wa kufungua account ya UTT unaanzia kwenye cm kwa kupiga *150*82# na kufata maelekezo au kwa kutumia app baada ya hapo unaweza ukaanza kununua vipande .. kisha unaweza kuchukua form online au kwenda ofcn kwao ukajaza form za ule mfuko ambao ulijiunga nao kupitia cm na utaweka account namba ambayo uliipata ulipofungua kupitia kwenye cm

Unaweza ukafungulia account kwenye cm ukaanza kununua vipande hata kwa miaka 5 ila kama unataka kuuza au kuanza kupokea gawio ndio uhitaj wa kujaza form unapokuwepo ili ujaze taarifa zako za ziada mfano account namba addrss yako na beneficiary wako
Asante sana
 
Habari,

Lengo sio kujitamba Bali ni kupeana chachu ya kuendelea kupambana. Leo nimefikisha 50ml lengo langu mwaka huu ni 65ml kutokana na saving zangu.

Sihitaji high return business bora nipate low return with minimal risk. Coz biashara imewahi nichakaza nikachanganyikiwa now sitaki kurudia makosa yaliopita. Kwangu UTT ni Bora zaidi! Nimewekeza Umoja, Jikimu, na Bond
Zipeleke Samia infrastructure fund utavuna zaidi
 
Back
Top Bottom