Now napigiwa simu na warembo wanawake wakiniambia nilitaka nikusalimu tu

Now napigiwa simu na warembo wanawake wakiniambia nilitaka nikusalimu tu

mr pipa

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
4,335
Reaction score
9,286
zamani enzi na unga unga maisha nikimpigia simu mrembo utasikia unashida gani?

Yaani kabla sijajieleza nishakatiwa simu dah kumbe maisha yanabadilika

Mungu ni mwema saiv nauwezo wa kula pisi yoyote yenye hadhi yoyote africa yoote mashariki

Na ninauwezo wa kufuata piss popote africa mashariki kudududuku

Wotee natuseme ameeen
 
Hawakupigii simu wewe, wanakipigia simu kibunda ulichonacho
 
Toka enz za mshahara wa January vp mbona unachelewa hadi kuwa na mafanikio ya pisi kali safari kweli ilikuwa ndefu

ngozi nyeusi mafanikio ni kula, starehe na pisi kama zote
 
Hivi kumbe kuzikula jagina ndio mafanikio huko Malawi na hamtuambii....🤔
Utajisikiaje kama mtu ataanza kuichafua user name yako kama wewe ulivyofanya kwa Jagina ?
Acha kufuata mkumbo wa vijana wasiojielewa mkuu,
IDs zote zikichafuliwa hapa JF,hii itakua ni forums ya aina gani? unafikiri member hupenda user name zao kuchafuliwa au kutafsiriwa hovyo?
 
Hivi huyo unayemuabudu Kama Mungu naye alikuwa hivyo na hayo ndiyo mafundisho yake?
Au hayo ni mafundisho uliyoyapata kwa huyo aliyekuzaa?
Kuna Papai moja humu JF lina IDs 8 na linazitumia kuchafua user name za member wa JF
Inasikitisha kuona kua kuna watu nao wanafuata huu mkumbo wa kijinga,

Sidhani kama kuna mtu yupo tayari kuona user name yake inachafuliwa kwa kutafsiriwa kijinga au kwa njia ya dhihaka.
 
zamani enzi na unga unga maisha nikimpigia simu mrembo utasikia unashida gani?

Yaani kabla sijajieleza nishakatiwa simu dah kumbe maisha yanabadilika

Mungu ni mwema saiv nauwezo wa kula pisi yoyote yenye hadhi yoyote africa yoote mashariki

Na ninauwezo wa kufuata piss popote africa mashariki kudududuku

Wotee natuseme ameeen
Mafanikio ni kufuata pisi yoyote Africa mashariki!
KWELI akili ni nywele kila mtu ana zake.
 
Back
Top Bottom