Tunamshukuru kwa taarifa
Hawakupigii simu wewe, wanakipigia simu kibunda ulichonachozamani enzi na unga unga maisha nikimpigia simu mrembo utasikia unashida gani?
Yaani kabla sijajieleza nishakatiwa simu dah kumbe maisha yanabadilika
Mungu ni mwema saiv nauwezo wa kula pisi yoyote yenye hadhi yoyote africa yoote mashariki
Na ninauwezo wa kufuata piss popote africa mashariki kudududuku
Wotee natuseme ameeen
Classmate wako ana shida sanaHivi kumbe kuzikula jagina ndio mafanikio huko Malawi na hamtuambii....🤔
Utajisikiaje kama mtu ataanza kuichafua user name yako kama wewe ulivyofanya kwa Jagina ?Hivi kumbe kuzikula jagina ndio mafanikio huko Malawi na hamtuambii....🤔
Hivi kumbe kuzikula jagina ndio mafanikio huko Malawi na hamtuambii....🤔
Kuna Papai moja humu JF lina IDs 8 na linazitumia kuchafua user name za member wa JFHivi huyo unayemuabudu Kama Mungu naye alikuwa hivyo na hayo ndiyo mafundisho yake?
Au hayo ni mafundisho uliyoyapata kwa huyo aliyekuzaa?
Mafanikio ni kufuata pisi yoyote Africa mashariki!zamani enzi na unga unga maisha nikimpigia simu mrembo utasikia unashida gani?