now niko hapa Ubungo terminal

now niko hapa Ubungo terminal

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Niko hapa UBT mvua imenyesha kama uko maeneo haya njoo nikupe ofa ya chai moto kama hautumii kuna kahawa na tangawizi.
Karibuni
 
Niko hapa UBT mvua imenyesha kama uko maeneo haya njoo nikupe ofa ya chai moto kama hautumii kuna kahawa na tangawizi.
Karibuni
Nikadhani unatukaribisha viroba mkuu. basi bana
 
Upo na Bashite? maana anasherehekea kumponyoka Kairuki.
 
Babe, nitoke Kwamtogole mpaka Ubungo terminals kwa ofa ya chai, acha masihara.
 
Back
Top Bottom