Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Vijana wa kiume tuhamine Zenji tukaoe wake wengi 😎😀😀
============================
Mgombea Urais kwa tiketi ya NRA Zanzibar, Khamis Faki Mgau ameahidi kuwawezesha vijana kuoa wake zaidi ya mmoja pamoja na kuwalipa mshahara ili waweze kujikimu kimaisha.