Ni dentralized mkuu ila information zipo public, Hazijafichwa.Moja ya sifa ninazosikia kuhusu bitcoin, ni kwamba ni uncentralized, hivyo huwezi kutrack mtumiaji.
Lakini kwa sasa kuna matukio kadhaa ya NSA kutrack wamiliki wa bitcoin, pia wameshikilia bitcoin kadhaa za watu ambao wanadai walifanya ulaghai au walizipata kiwizi au freud.
Najiuliza wanawezaje kufanya hivi, ikiwa huwezi transfer wala access bila key?
Chief-Mkwawa
Sasa kama ni hivyo kwanini cryptos wanapenda kuzitumia kama malipo kwenye issue ilegal.Ni dentralized mkuu ila information zipo public, Hazijafichwa.
Kutoka site ya bitcon
All Bitcoin transactions are public, traceable, and permanently stored in the Bitcoin network.
Source
Hivyo mkuu wanachofanya Police ni kujua tu adress yako ya bitcoin, wakishaijua ulipotuma hela, ulichopokea, Adress ulizotrade nazo etc watazijua.
Usiri wa Bitcoin ni pale adress inapokua siri, ikishajulikana kila kitu kipo wazi, unapomtapeli mtu kama alikutumia coin tayari hakuna usiri.
Mkuu wallet unaweza kutengeza na kuachana nayo. Inamaana unapokea then huitumii tena.Sasa kama ni hivyo kwanini cryptos wanapenda kuzitumia kama malipo kwenye issue ilegal.
Na wanaweza confiscate vipi bitcoins pasipo kuwa na key?