Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Moja ya sifa ninazosikia kuhusu bitcoin, ni kwamba ni uncentralized, hivyo huwezi kutrack mtumiaji.
Lakini kwa sasa kuna matukio kadhaa ya NSA kutrack wamiliki wa bitcoin, pia wameshikilia bitcoin kadhaa za watu ambao wanadai walifanya ulaghai au walizipata kiwizi au freud.
Najiuliza wanawezaje kufanya hivi, ikiwa huwezi transfer wala access bila key?
Chief-Mkwawa