mirymicaiah605 Senior Member Joined Apr 6, 2014 Posts 107 Reaction score 17 Jul 22, 2014 #1 Watu wa diploma (NTA) na wale FTC TCU kuapply deadline mwsho lini? Msaada maana watu wanachanganyana
irumba1 JF-Expert Member Joined May 10, 2013 Posts 882 Reaction score 321 Jul 23, 2014 #2 mirymicaiah605 said: Watu wa diploma (NTA) na wale FTC TCU kuapply deadline mwsho lini? Msaada maana watu wanachanganyana Click to expand... 31.07.2014
mirymicaiah605 said: Watu wa diploma (NTA) na wale FTC TCU kuapply deadline mwsho lini? Msaada maana watu wanachanganyana Click to expand... 31.07.2014
mirymicaiah605 Senior Member Joined Apr 6, 2014 Posts 107 Reaction score 17 Jul 23, 2014 Thread starter #3 Duh nkisoma,guideliness inaniambia zarh 31 august asante mkuu
irumba1 JF-Expert Member Joined May 10, 2013 Posts 882 Reaction score 321 Jul 23, 2014 #4 mirymicaiah605 said: Duh nkisoma,guideliness inaniambia zarh 31 august asante mkuu Click to expand... wanaotumia matokeo ya form six mwisho ndio tar 31.8.2014 lakin kwa kundi ulilolitaja mwisho ni tar niliyokutajia,ingia kwenye web ya nacte uone
mirymicaiah605 said: Duh nkisoma,guideliness inaniambia zarh 31 august asante mkuu Click to expand... wanaotumia matokeo ya form six mwisho ndio tar 31.8.2014 lakin kwa kundi ulilolitaja mwisho ni tar niliyokutajia,ingia kwenye web ya nacte uone
ndea Member Joined Aug 28, 2013 Posts 92 Reaction score 29 Jul 23, 2014 #5 Mwisho ilikua 31/06 wakaongeza mpaka 17/07 wakaongeza mpaka 31/07 hapo ndio mwisho na kumbuka unapitia NACTE
Mwisho ilikua 31/06 wakaongeza mpaka 17/07 wakaongeza mpaka 31/07 hapo ndio mwisho na kumbuka unapitia NACTE