Nsaidieni hili

Nsaidieni hili

mirymicaiah605

Senior Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
107
Reaction score
17
Watu wa diploma (NTA) na wale FTC TCU kuapply deadline mwsho lini? Msaada maana watu wanachanganyana
 
Duh nkisoma,guideliness inaniambia zarh 31 august asante mkuu

wanaotumia matokeo ya form six mwisho ndio tar 31.8.2014 lakin kwa kundi ulilolitaja mwisho ni tar niliyokutajia,ingia kwenye web ya nacte uone
 
Mwisho ilikua 31/06 wakaongeza mpaka 17/07 wakaongeza mpaka 31/07 hapo ndio mwisho na kumbuka unapitia NACTE
 
Back
Top Bottom