Nsajigwa: Mamelodi Sundowns hakuna wanachoizidi Yanga

Nsajigwa: Mamelodi Sundowns hakuna wanachoizidi Yanga

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
#KIPENGA: ''Kwenye eneo la ulinzi ni eneo ambalo Aubrey Modiba kutokea Mamelodi anacheza na kitu ambacho Aubrey Modiba anamzidi Bacca sijakiona kwa sababu Bacca amekuwa na muendelezo mzuri wa kufanya vizuri kwenye matukio hasa hii ya Michezo mikubwa ni ngumu sana kumuona Bacca anafanya makosa yanalopelekea goli'' - @nsajigwa_senior Via Kipenga

#EastAfricaTv #EastAfricaRadio #Michezo #KipengaXtra #HainaKuchoka

Makolo mkihitajika nusu final mtaitwa[emoji23][emoji113]....by doto magali.

1711118137252.jpg
 
Njia pekee ya mamelodi kumtoa yanga ni kubebwa na marefa tu. Maana huwa anabebwa sana sababu bosi wa caf ndie mwenye mamelodi.

Nje ya hapo mechi zote 2 ya Bongo na ya South africa. Aggregate ya magoli itampitisha yanga
 
The tank anajifua kuwakabili mamelodi
 

Attachments

  • 549501C9-79C6-4505-AD16-42F5DBDA8C40.jpeg
    549501C9-79C6-4505-AD16-42F5DBDA8C40.jpeg
    320.4 KB · Views: 3
  • 42C9CD4B-3EA6-43AC-A5A8-D58117B4DB88.jpeg
    42C9CD4B-3EA6-43AC-A5A8-D58117B4DB88.jpeg
    333.1 KB · Views: 2
Njia pekee ya mamelodi kumtoa yanga ni kubebwa na maref tu.

Nje ya hapo mechi zote 2 ya Bongo na ya South africa. Aggragate ya magoli itampitisha yanga
Sahihi kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom