Kama ulikua mvumilivu na kukita na share zako za KQ hata ilipokua na shida basii wakati kama huu ungekua na Tabasamu tele kwani hisa zako zingekua zimeongezeka na 30%.
Huyu CEO mpya amefita meneja karibu wote wa kitambo yanii jamaa anachapa kazi bila huruma ya mtu yeyote