halafu wewe shem.....fanya tuonane........
Duu mtani wangu kwa mapomposi acha kabisa, ina maana sisi tulioko huku kwa kajamba nani tulie tu sio. Preta hivi na wavuvi waliopo huku ndani ya ziwa Nyanza wanaruhusiwa kuku-PM?.Mambo Preta? I happen to be in washington kwenye maandalizi ya kuapishwa BO,ka vipi nikutumie tiketi unijoin plis!
Matwi=Masikio?.tatizo preta unamasharti magumu sana kuliko kalmanzila ndio maana tunaogopa kutaka kukufahamu ati
Hapana, hicho ni Kikorea!....hiki ni kiTanzania.....?
Njoo huku ziwani nikupe tuition...ni lugha rahisi sana!.basi nimekupenda......
Kwamba unasubiri ni R.I.P uanze kutaka kunifahamu.......kwa nini usitake tufahamiane saa hizi.....we kama unataka kumfahamu Preta mPM.....mfanye miadi mkutane......sio nikiGO....muanze kuweka picha zangu humu na kuanza kusema....oooh maskini Preta....mara...mbona kinene kama tufe.....sitaki nasema....na sitaki mazoea......ngoja mtu aweke picha yangu ndio atanifehemu......
Nadhani nimeeleweka........
Is that so?
Miss you too!
Yaani wewe shem umenipigishaje bumbuwazi ?
.
aahhh adimika sana wewe mpaka msiba mwingine?? hata resort kubip??
hebu fanya iwe P
hahaha ni kama wazee wanavyosema makubazi... soma kinyume!!