Nshasema sitaki......

Nshasema sitaki......

halafu wewe shem.....fanya tuonane........

Yaani wewe shem umenipigishaje bumbuwazi ?
Niulize kwa kivipi? Ni kwamba umenikabla!
Namie ndy nilitaka nikwambie hivyohivyo, kama ulivyonambia wewe kuhusu vya kuonana!
Yaani ! yaani ! Yaani .
 
Mambo Preta? I happen to be in washington kwenye maandalizi ya kuapishwa BO,ka vipi nikutumie tiketi unijoin plis!
Duu mtani wangu kwa mapomposi acha kabisa, ina maana sisi tulioko huku kwa kajamba nani tulie tu sio. Preta hivi na wavuvi waliopo huku ndani ya ziwa Nyanza wanaruhusiwa kuku-PM?.
 
Erickb52 huwa unanikumbuka tuu kwenye majungu
Nalikemea hilo pepo lishindwe kwa jina la ndyofu
Halafu leo Mungi kafungiwa paswedi nini mbona sijamuona
@

Nakuja mkuu.............. kuna mtu aliniibia password yangu .............. still searching...............
 
tatizo preta unamasharti magumu sana kuliko kalmanzila ndio maana tunaogopa kutaka kukufahamu ati
 
ngoja nikupm kabla mambo hayajabadilika!!!!!!!!!!!!!
 
Kwamba unasubiri ni R.I.P uanze kutaka kunifahamu.......kwa nini usitake tufahamiane saa hizi.....we kama unataka kumfahamu Preta mPM.....mfanye miadi mkutane......sio nikiGO....muanze kuweka picha zangu humu na kuanza kusema....oooh maskini Preta....mara...mbona kinene kama tufe.....sitaki nasema....na sitaki mazoea......ngoja mtu aweke picha yangu ndio atanifehemu......
Nadhani nimeeleweka........

hahahaha kiki see nacho aikusumbuoo!!
tiririkaaa.... tujue pa kuanzia
 
Back
Top Bottom